Posted On: October 10th 2026, 06:08 am
π Wizara yetu imechaguliwa kushiriki Tanzania Marketing Awards (TMA) 2026 katika kategoria ya Best Cultural and Heritage Promotion Campaign, ambapo kura za wananchi zinachangia 70% ya alama za mwisho. Mwisho wakupiga kura ni trh 18 October
ππ½ Naomba support yenu kwa kupiga kura na kuwashirikisha wanafunzi wenzetu, marafiki, ndugu na wengine.
π³οΈ JINSI YA KUPIGA KURA:
1οΈβ£ Fungua link: https://votingtma2026.tmsa.or.tz/?utm_sourc
2οΈβ£ Weka email yako au namba ya simu.
3οΈβ£ Utatumiwa code kupitia email yako au SMS kwenye namba ya simu uliyoandika.
4οΈβ£ Weka code hiyo kuthibitisha.
5οΈβ£ Shuka chini hadi Tourism, Travel and Hospitality Marketing. We
6οΈβ£ Chagua Best Cultural and Heritage Promotion Campaign.
7οΈβ£ Piga kura kwa DARUSO Domestic Tourism Research and Innovation.
8οΈβ£ Bonyeza Submit kukamilisha kura yako. β
β±οΈ Inachukua dakika 1 tu na sekunde 15.
Kura yako ni mchango wako. Tuiwakilishe DARUSO kwa pamoja!