Posted On: October 11th 2026, 07:29 am
Nimejionea kwa macho yangu GOD'S FAVOR, KIBALI🙌🏽
Mwenyezi Mungu akikupa KIBALI mbele ya jambo na watu wake..... LINAKUA kwa namna ambayo hata wewe itakushangaza!
Hongera sana
@jihandimack TANZANIA IMEFURAHI! Nakutakia Mafanikio na Baraka tele za Mwenyezi Mungu. Yeye aliyekuinua akakuongoze ili uendelee kugusa mioyo ya wengi duniani. Wewe ni kielelezo cha fahari ya nchi yetu! Hongera sana!