
7 days agoNaludia tena kuuliza ofisi zenu zikowapi me nataka kujiunga nanyie me deleva bajaji kama kunauwezekano wakujiunga bila kufika ofisini kwenu pia niambiwe
8 days agoMzee salaam zangu kwako, haya nimaoni yangu kwa yanga, Moja,Yanga inahitaji kocha haswa kisiki na mchindani wa kuamua mechi kubwa sio wa majaribio na aambiwe wachezaji wacheze kama Akina Andambile,Azizi Ki sio wakukaa benchi, pili Kocha haswa wa fitness mwenye uwezo wa kuwezesha Yanga dk 120 kucheza kwa nguvu hiyo hiyo ndiyo ilivyokuwa kwa Gamondi na Nabii, yanga ya Sasa fitness ndiyo inaiponza haswaa, hata Jana mechi ya Mashujaa ilitota kwenye fitness, tatu Yanga inahitaji Kiungo namba 6 Zaidi ya Aucho wa kumweka benchi Duke, ondoa Ngoma hafai,Nne yanga inahitaji Kiungo namb 8 Bora zaidi ya Mudathiri na Mwisho Yanga inahitaji namba 9 streika katili zaidi ya Shalulile wa kumweka benchi shalulile, streika ambaye nafasi 2 anakosa Moja au zote, kwa hiyo Yanga inahitaji wachezaji wa 3 tu dirisha dogo nomb 6 na namba 8 na namba 9 tu👏👏
