Posted On: October 27th 2026, 09:23 am
#TanzaniaUnforgettable campaign seen at the prestigious
@dolbytheatre, home of the Academy Awards (Oscars) in downtown Hollywood, California🙏🏻🙏🏻🇹🇿🇹🇿
Kampeni ya kutangaza utalii wa Tanzania sasa unaweza kuiona kwenye mitaa ya Hollywood kule California ikiwemo kwenye ukumbi mashuhuri duniani wa @dolbytheatre mahali zinapofanyika kila mwaka Tuzo za Juu zaidi katika ulimwengu wa filamu za OSCARS!