Posted On: October 13th 2026, 09:02 am
Miaka miwili ya upendo, huruma na kugusa maisha ya watu! 🙏❤️
Kutoka kwenye huruma hadi kwenye mabadiliko (From Compassion to Transformation), tunaendelea kuamini kwamba kila tendo la upendo linaweza kuwa mwanzo wa matumaini mapya kwa mtoto. 🥹❤️
🎉 TWO YEARS ANNIVERSARY!
📅 TAREHE: 02 JANUARY 2027
📍 MAHALI: Watoto Wetu Tanzania, Mbezi – Dar es Salaam
Katika safari hii, tunakualika kuwa sehemu ya mabadiliko. Unaweza kuchangia mchele, sukari, unga wa ngano, sabuni, mafuta ya kupikia, fedha taslimu au chochote ambacho Mungu amekuwezesha. Kiasi kidogo chenye upendo kinaweza kuleta tabasamu kubwa. 🤝❤️
💳 M-Pesa: 350255977
🦅 Jina: The Vision of Eagle Foundation
✨ Your giving can turn a child’s New Year into a new beginning.
Tusisubiri kuwa na vingi ili tutoe; tuanze na kile tulicho nacho. Kwa pamoja, tunaweza kuleta matumaini, furaha na mabadiliko ya kweli katika maisha ya watoto. ❤️🦅
THE VISION OF EAGLE FOUNDATION
Beyond Giving — Being There.
#TheVisionOfEagleFoundation
#BeyondGiving #Season7 #TwoYearsAnniversary #FromCompassionToTransformation Charity GivingHope TogetherWeCan DarEsSalaam Tanzania 🇹🇿