Posted On: October 14th 2026, 08:52 am
HAPPY NYERERE DAY!
His quotes on education:
“Elimu sio njia ya kuepuka umaskini, ni njia ya kupigana nao”
“Kujielimisha ni kutafuta ukweli wa mambo.”
“Elimu si kwa ajili ya kumpa mtu cheti, bali ni kwa ajili ya kumkomboa.”
“Kusudi la elimu ni kumwezesha binadamu kutumikia jamii yake.”
“Elimu inayotenganisha mtu na jamii yake si elimu sahihi.”
“Njia nzuri ya kuwapa pesa maskini ni kuwapa watoto wao elimu iliyo bora.”
~ Pumzika kwa amani!