Posted On: October 17th 2026, 04:38 pm
Kuna msemo vijana wanapenda kuutumia unasema hivi. WATU WA MUNGU HATUISHIWI NGUVU. sasa mimi nakuhakikishia kwamba usipomuomba Mungu nguvu lazima zikuishia na shetani atakushambulia tuu. 😀🙌🏻 anyway nipo na kiungo wa nchi
@feisal194 📸@honest__eyes