Posted On: October 18th 2026, 06:14 am
Arushaaa the land of HipHop. The Land of Opportunity na ndio maana kwenye MGUU WA KUTOKA tunaenda kimitaa na
@letsgoapptz kwa usafiri wa Haraka na Salama. Tukutane
@af_arusha kwenye uzinduzi wa Album ya
@udani_gang Haya ni mapinduziiiii y HipHop Arusha tuje kimitaa na LET'S GO APP TZ 🫡