Kila siku ya jumapili hakikisha uki tuona @christian_street_wear_ sogea karibu na mic yetu uweze kujishindia tshirt,prova,kofia,Diary na mpaka kofia,
Jumapili hii challenge yetu ilikuwa ndogo sana lakini kashinda mmoja na strory ilikuwa kujua kuhusu kondoo mmoja aliepotea na kufwata na mchungaji wake na kuacha 99.