Posted On: October 19th 2026, 01:46 pm
KATIBU MKUU WA UVCCM FARIS BURUHANI APOKELEWA DODOMA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ndugu Faris Buruhani, leo Oktoba 19, 2026, amepokelewa na WanaCCM pamoja na wananchi katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.
Baada ya mapokezi hayo, Ndugu Buruhani aliongoza matembezi kuelekea Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM zilizopo Kata ya Tambukareli, Dodoma.
@farisburuhan @comrade_kawaida