Instagram story viewer> @josephmramba_> Post
16 days ago
Photo by Joseph Mramba on October 19, 2026. May be an image of one or more people, people smiling, people standing and text.
Photo by Joseph Mramba on October 19, 2026. May be an image of one or more people, people smiling, people standing and text.
Photo by Joseph Mramba on October 19, 2026. May be an image of one or more people, hair, office and text.
Photo by Joseph Mramba on October 19, 2026. May be an image of one or more people, people smiling, people standing and text.
2
Posted On: October 20th 2026, 05:38 am
Tagged Users:
Nikiwa jijini Arusha, nilipata wakati mzuri wa kumtembelea na kumsalimu Mhe. Felix Mrema, aliyewahi kulitumikia Jimbo la Arusha Mjini kama Mbunge kwa kipindi kirefu. Nilipata wakati huo nikiwa pamoja na familia yake, mama @cosmayahansen na kaka Junior Mrema katika makazi yake ambapo tulizungumzia Maswala mbalimbali ikiwemo Fursa za ushirikiano na Maendeleo ya sekta ya Utalii nchini Tanzania.

Mhe. Felix Mrema ni miongoni mwa watu walio na historia ya muda mrefu na jiji la Arusha, ambako alilelewa tangu akiwa na umri wa miezi sita. Hadi leo, anaendelea kukumbukwa na kuthaminiwa na wananchi wengi wa Arusha kutokana na historia yake, kazi na uhusiano wake wa muda mrefu na jamii hiyo.

Ni jambo la kufurahisha kukutana na viongozi wenye historia na mizizi ya karibu na jamii wanayoitumikia. Asante kwa mapokezi mazuri baba Felix Mrema na familia yako, Mwenyezi Mungu azidi kukujalia afya na baraka tele wewe na familia. #Arusha @cosmayasafari 🙏🏾🇹🇿
Comments (2)
cosmayahansen 16 days ago

cosmayahansen

Barikiwa sana na karibu tena Arusha..👏

More posts

back to up