Instagram story viewer> @badson.group> Post
17 days ago
2
Posted On: October 20th 2026, 06:23 am
Comments (2)
tronixmobile.tz 17 days ago

tronixmobile.tz

Habari za asubhi ndugu yangu. Samahani mm kijana nafanya umachinga wa kuuza phone accessories mtaani walau nipate chochote kitu ili maisha yaende. Sasa ndugu yangu kuna ka kibanda kanauzwa sehem ya mjini ambako nikipata itakua vizuri kwa mm kuweka bidhaa zangu ila changamoto ni ela sina. Naomba unisaidie 250k tu niweze kununua walau nipumzike na jua. Maana napambana sana ila hali ngumu pia nyumbani nako wananitegemea mim. Niko chini ya miguu yako naomba unisaidie namba hii apa 0657 471 543 jina litakuja maria. Ahsnte uwe na wakati mwema @badson.74

More posts

back to up