Instagram story viewer> @mnmatheofficial> Post
16 days ago
32
Posted On: October 20th 2026, 11:43 am
Mkuu wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof. Haruni Mapesa, akiwakaribisha Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanaojiunga katika Chuo hicho kwa mwaka wa masomo 2026/2027.
Comments (32)
crab10499 8 days ago

crab10499

system mbovuuu🙌

khamis.sharif.906 11 days ago

khamis.sharif.906

*HOSTEL 🪝HOSTEL NA VYUMBA VYA KUPANGA KIGAMBONI DAR 🩷* ___________ *KWA MAHITAJI YA HOSTEL NZURI PIGA SIMU #0693090418 au # 0656171122* 🪛🛢️📒 *HOSTEL ZIPO BEI TOFAUTI TOFAUTI KUANZIA FERRY BEI ZIPO ZA , 200000/, 280000/, 300000/, 330000 / ,350000/, 400000/,KWA SEMISTER* 🔖📈📚 *Kwa mahitaji ya wanafunzi wa vyuo vikuu nk.....* *Chuo ,: IFM, CBE, MNMA, UTUMISHI, DIT, UHASIBU, DUCE, UTALII, DMI,TIA* 🆎🚸🇹🇿 🪮🚹🚺 *DALALI KIGAMBONI MA HOSTEL NA VYUMBA VIZURI....SAVE NAMBA ITAKUFAA ATA SEMISTER IJAYO, FREE TRANSPORT BODABODA KWENDA KUANGALIA HOSTEL NA VYUMBA ♥️ 💖*

khamis.sharif.906 11 days ago

khamis.sharif.906

CHUO CHA MWALIMU NYERERE DAR NI KIZURI SANA PIA WANAFUNZI PAMOJA NA VIONGOZI WOTE WA CHUO NA LECTURES HAKIKA WAPO VIZURI SANA SANA HONGERA SANA MKUU WA CHUO NA WASAIDIZI WAKO KWA KAZI ZURI KWA KUSHILIKIANA NA RAIS WETU WA CHUO PAMOJA NA MAKAMU WA RAIS PONGEZI KWENU.

sarafina8212 11 days ago

sarafina8212

🔥🔥🔥🔥

senior_officer95 11 days ago

senior_officer95

MUNGU AMPE MAISHA MAREFU MKUU WETU PRO.HARUNA JEREMIA MAPESA❤️❤️

estherbekeri 12 days ago

estherbekeri

Binti yangu anasiku tano hapo Bado hajapata Usajili na hostel anaambiwa mpaka apate usajili .na tayari alishalipa Kila kitu..Mnamuweka kwenye mazingira hatarishi..angalieni mifumo yenu...

jeff2410_ 13 days ago

jeff2410_

@mnmatheofficial mbona admission namba zote zaidi ya kumi hazipokelewi

bandayusuphausi 14 days ago

bandayusuphausi

Mkuu wetu huyoo👏👏👏

mwlikelyaemmanueljr 14 days ago

mwlikelyaemmanueljr

Surely our college @mnmatheofficial is the best university, a place of work, performance, responsibility, justice, duties, and the center of Tanzanian humanity. You, as a student of @mnmatheofficial, should not look down on yourself or feel worthless; not at all, you are very worthy! I say this because I am the number one witness to what I have experienced here. God is the greatest, let's keep fighting for a better and beneficial future for our nation, parents, society, and the whole world.

wozdede 14 days ago

wozdede

Mifumo ya kimatokeo kutolewaa Iboreshwee tuuh🙏 huzunii😥

simba_never_loose_snlboy 14 days ago
jey_rabbit26 14 days ago

jey_rabbit26

🔥🔥

Load More

More posts

back to up