Instagram story viewer> @thechanzo> Post
16 days ago
Co Creator: holy_mbise
57
Posted On: October 20th 2026, 05:19 pm
Tagged Users:
Mikoa 10 Tajiri Tanzania Bara

1. Dar es Salaam - Tsh. Trilioni 39.8
2. Mwanza - Tsh. Trilioni 16.7
3. Mbeya - Tsh. Trilioni 12.9
4. Morogoro - Tsh. Trilioni 11.4
5. Arusha - Tsh. Trilioni 11.1
6. Tanga - Tsh. Trilioni 10.9
7. Geita - Trilioni 10.5
8. Kilimanjaro - Tsh. Trilioni 10.5
9. Tabora - Tsh. Trilioni 8.7
10. Mara - Tsh. Trilioni 8.6

Hii ndio mikoa 10 inayoongoza kwa utajiri hadi kufikia mwaka 2025 kwa kuangalia pato la mkoa husika kwa mujibu wa Ripoti ya BoT ya Utendaji wa Kiuchumi ya Juni 2026 (Consolidated Zonal Economic Perfomance Report for the Quarter Ending June 2026).
Comments (57)
seurisonakyo 8 days ago

seurisonakyo

Wenzetu kagera vp

josephkajungu40 10 days ago

josephkajungu40

Kama Moro ipo top 4bhas Tanzania kiuchumi bado

okulosantos 12 days ago

okulosantos

Nilichogundua mikoa inayoongoza Kwa uchawi ndio ya mwisho😮😮

kitunguuuuu 13 days ago

kitunguuuuu

Tanzania yote bei gani? Ebu nisaidieni nijue naendelea kukaza kwenye Folexiii au kulima vitunguuuu

godlisten.ngowi 13 days ago

godlisten.ngowi

mmeruu 🔥🔥

noel_gypsum1 14 days ago

noel_gypsum1

Ni utajiri Au umasikini wenye uafadhali? 😂

liannsambu 14 days ago

liannsambu

Nimeshikitika mikoa yote iliyo kwenye list ya mikoa ya uchumi mkubwa ,bado watu wake na maendeleo ya mikoa hiyo haifanani na watu wake na maendeleo yake . So IFIKE hatua Kila mkoa pesa yake ibaki kwenye mikoa kuendelea mikoa Yao ili wale keki ya mikoa Yao ili mikoa ambayo haina vitegauchumi itafute vitegauchumi vyake iweze kucompete kujikuza . Eg Kanda ya ziwa ndani ya mikoa Bora kumi imeingia zaidi ya mara 3 lakini wengine wanahali mbaya ata barabaran ,MASOKO ,steady ,huduma za kijamii nk bado ziko chini Sana mbali na UTAJIRI wake mfano tazama geita ,mara ,mwanza wanaingiza KIASI Gani na WOTE ni ukanda mmoja but angalia maisha ya watu wake na maendeleo yake ni MADOGO why pesa za Kila mkoa zisibaki Kwa Kila mkoa ili kujiendeleza na kuboresha maisha yao na maendeleo Yao ??

tune_shaaban_salim 14 days ago

tune_shaaban_salim

Mikoa ya Zanzibar vipi?

kapaga_store 15 days ago

kapaga_store

Boresha miundombinu Mbeya mtakachokuja kukiona kitaishangaza Tanzania

joachim_mapunda 15 days ago

joachim_mapunda

Output. Sio utajiri. Output ni uzalishaji jumla kutoka mikoa hiyo. Utajiri ni thamani jumla ya mali katika mkoa husika. Kwa mfano, dhahabu itakayochimbwa Mara ikauzwa Dar es Salaam na pesa hizo zisirudi Mara, huo sio utajiri wa Mara. Ni uzalishaji uliotokea Mara.

mahalakisa 15 days ago

mahalakisa

Bila Njombe sitaelewa

mecky190 15 days ago

mecky190

Where is kigoma and kagera mbwa wale 😂

Load More

More posts

back to up