Posted On: October 21st 2026, 08:06 am
Hii Kulwa amepita nayo. Jaribu hii kama snack kwa watoto wakiwa na njaa za hapa na pale.
Sio kila saa kiporo na maharaghe ya gesi, asijeakapata kirumbatumbo bure😳😭😭😩😔 Haya pita nayo hii, au kiporo ni utamaduni kwenu?
Load More