Usalama barabarani huanza na maamuzi sahihi.Tanzania Breweries PLC (TBL) na Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania wametia saini Hati ya Makubaliano (MoU) kupitia kampeni ya #CheersToModeration, kwa lengo la kuhamasisha usalama barabarani miongoni mwa madereva wa pikipiki nchini Tanzania. Kwa pamoja, tunaendeleza uhamasishaji, kutoa elimu kwa madereva na kuhimiza uzingatiaji wa kanuni za usalama barabarani ili kulinda maisha na kuimarisha jamii zetu. Kila uhai una thamani. Kila kofia ya usalama ina umuhimu. Kila safari salama inaleta tofauti. Bila Kofia ya Usalama, Hakuna Safari. #CheersToModeration#GlobalResponsibleBeerDay #UsalamaBarabarani#BilaKofiaHakunaSafari #JamiiSalama#UwajibikajiKwaJamii#ResponsibleTogether#OkoaMaisha#Tanzania