Instagram story viewer> @radio5tz> Post
14 days ago
Madaktari wa Papa Leo XIV wametangaza kuwa hatahitaji matibabu zaidi ya saratani ya mapafu kufuatia upasuaji uliofanikiwa kufanyika wiki iliyopita.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumatano, matokeo ya mwisho ya uchunguzi wa tishu yameonesha kuwa saratani hiyo ilikuwa imejikita katika eneo moja pekee. Kutokana na matokeo hayo, madaktari wamethibitisha kuwa hakuna haja ya kuendelea na matibabu zaidi.
#radio5fm
0
Posted On: October 22nd 2026, 08:49 am

More posts

back to up