Posted On: October 27th 2026, 02:34 pm
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limefanya mazoezi ya kijeshi kuimarisha uwezo na kukagua utayari wa kulinda usalama, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya misheni za kulinda amani katika mataifa ya Afrika ya Kati na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC)
Akikagua mazoezi hayo, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda amesema JWTZ inaendeleza misingi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ya kuhakikisha Tanzania na nchi jirani zinabaki salama na huru.
✍🏾 Elizabeth Mwinuka
Mhariri | Fred Owden
#UlinziUsalama
#Jwtz.
#UdomDigital
#YourCampusYourVoiceYourStory!