Posted On: October 27th 2026, 03:01 pm
Haaaaaliiiiii ni mbaaayaaa! ๐๐ฅ
Familia nzima ya UDBS, kuanzia Continuous, Finalists hadi Wanafunzi wapya First Years 2026, hapa hakuna kubaki nyuma
Ni wakati wa kuungana, kupunga upepo na kuandika historia mpya ya burudani chuo kikuu. ๐โจ
Mahali ni TONYMAX
Tarehe: 13/11/2026
Kiingilio ni TZS 20,000/= tu
Weka kikosi chako tayari, tiketi yako mkononi na jiandae kwa usiku wa kukata na shoka. Usipime kwa maneno njoo ujionee๐ฅ๐๐บ
#UDBS DARUSO 2026
#FreshersParty #HaaaliiiiNiMbaaayaaa