Instagram story viewer> @sifayouthtalk> Post
9 days ago
Co Creator: mikachavala qsmorice sumamwaitenda
7
Posted On: October 27th 2026, 07:54 pm
UNAMFAHAMU, MIKA CHAVALA? UMEWAHI KUJIULIZA ANAWAZA NINI KUHUSU DHANA YA KIJANA NA MAENDELEO?

Kutana na kijana wa kitanzania na mfanyabiashara, Mika Chavala akitema madini yake juu ya dhana ya kijana na maendeleo kupitia mahojiano maalum na timu ya Media ya Sifa Youth Talk.

Mika kwanza amepongeza juhudi zinazofanya na waratibu wa jukwaa la vijana la Youth Talk, pili kwa mujibu wake baadhi ya mambo muhimu aliyosisitiza katika dhana hiyo ya vijana na Maendeleo ni:

1. Wajenge uwezo na ujuzi: kujifunza kila siku ili kuendana na soko la sasa.
2. Wachukue hatua na wawajibike: kuanzisha biashara, mifumo, na kutatua changamoto za kijamii.
3. Wawe na akili huru: kuepuka kukariri mifumo inayorudisha nyuma bara letu na badala yake kuwa wabunifu na viongozi bora.

#SifaYouthTalk #Inspirational #YouthEmpowerment #AfricaUnite #Leadership MikaChavala
Comments (7)
laurence.nziku 2 days ago

laurence.nziku

Mtu wa maana kabisa

sillaaronyalonde 6 days ago
laurence.nziku 7 days ago

laurence.nziku

kijana na maendeleo

sillaaronyalonde 8 days ago

sillaaronyalonde

🔥🔥🔥🔥

sillaaronyalonde 9 days ago

sillaaronyalonde

Kijana na maendeleo

globecast_tv 9 days ago

globecast_tv

Madini madini..🙌

anney_gobby 9 days ago

anney_gobby

🔥🔥

More posts

back to up