8 days agoHabari kiongozi. Mimi ni Muelimishaji wa Maendeleo Binafsi (Personal Development Coach) ambaye naelimisha jamii ikiwemo wanafunzi wa ngazi zote za elimu kwenye suala la ujenzi wa Successful Career. Naulizia fursa ya wadau (Waelimishaji wa Personal Development) kama ipo ili tupewe utaratibu wa kushiriki semina hiyo muhimu kwa vizazi vyetu
