Instagram story viewer> @tamwa_zanzibar> Post
8 days ago
Co Creator: official_shijuwaza
Photo by Tanzania Media Women’s Association, Zanzibar on October 28, 2026. May be an image of one or more people, people studying, office and text.
Photo by Tanzania Media Women’s Association, Zanzibar on October 28, 2026. May be an image of one or more people, people smiling, people studying, headscarf, office and text.
Photo by Tanzania Media Women’s Association, Zanzibar on October 28, 2026. May be an image of one or more people, dais, office and text.
0
Posted On: October 28th 2026, 09:10 am
Awamu ya pili ya mafunzo ya CADiR yamefika Unguja.

TAMWA-ZNZ inaendelea na mafunzo ya utetezi wa haki (Advocacy) na ujenzi wa muungano (Coalition Building) kwa Jumuiya tano za Watu Wenye Ulemavu (OPDs) zilizopo Unguja, baada ya awamu ya kwanza kufanyika Pemba.

Mafunzo haya ya siku nne, chini ya Programu ya CADiR (Collective Action for Disability Rights), yamezikutanisha jumuiya za @official_shijuwaza, @juwauza, @zanab1993_znz, UWZ na JUVIZA kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na kuongeza nguvu katika utetezi wa haki za watu wenye ulemavu.
____________________________________________________

The second phase of CADiR training has arrived in Unguja!

Following the first phase in Pemba, TAMWA-ZNZ is continuing its four-day training on advocacy and coalition building for five Organisations of Persons with Disabilities (OPDs) in Unguja.

Under the CADiR (Collective Action for Disability Rights) Programme, the training brings together @official_shijuwaza @juwauza , @zanab1993_znz , UWZ and JUVIZA to strengthen collaboration and collective action in advancing the rights of persons with disabilities.

From Pemba to Unguja, building a stronger collective voice for disability rights.

More posts

back to up