3 days agoIbrahim Kazimoto anapiga sana back passes sawa na Komara akicheza Kiungo, Zakouani. Wachezaji wa hivi tukicheza mechi za mikoani ndo wanafanya timu ishindwe kutengeneza chances
6 days agoMzee kwenye uteuzi wa makocha mnafeli wapiiii nani kawalogaaaa? Kama kweli Sead Romovic anarudi Yanga Bado munachemsha sanaaaaa,huyu si ndiye alishindwa kuivusha Yanga kwenda robo huyo Sead Romovic siye aliyesepa na kuiacha mataani Yanga baada ya kufeli kuivusha robo dhidi ya MC Aliger, Kisha Miloud Hamad na Moalin wakaokoa jahazi, kwanini Miloud Hamad na Moalin wasirudi wao, Miloud Hamad ameshaonyesha Tena kwa soka safi na ushindani mzuri, huyo kocha na aliyeondoka ni kulwa na doto hamna kitu kabisa, viongozi kwenye scouting ya makocha Bado wanapuyanga sana sijui nani aliwaroga amakweli sikio la kufa halisikii dawa, Yanga hii halihitaji kocha anayejitafuta kama huyo, Yanga hii inamwihitaji Kocha jiwe haswa kocha mwenye uwezo wa kucheza knockout game siyo huyu, Bado mnachemsha sana kwenye scouting ya makocha na wanapuyanga sana, sijui nani aliwaroga, amkeni Sasa achaneni na makocha wa bei nafuu bei za jioni makocha wanaotafuta kutengeneza cv Yanga kama huyo hawafai, kama mnataka kocha mdogo si Heri mchooooeeeni kocha wa Gaborone fc Sean scoon mzungu huyo hamumuooni ni Bora Bora mara elfu 3 kuliko huyo maana anaoonyesha anauwezo mkubwa kimbinu na ufundi na soka safi na hata tumeona jinsi alivyotusumbua kwenye game 2 za kufuzu, Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa Sead ni material mazuri ya kuivusha Yanga, Haina kocha humo hafaiiiiiii... viongozi wetu tafuteni kocha mzuri wa maaaaaana sanaaa mwenye uwezo wa kucheza knockout game za mechi kubwa hasa za waarabu siyo huyo ni mudogo mnooo haitoshi na hafai na alishaifelisha Yanga akasepa,ila kama mnataka kutukanwa Tena mleteni huyo mbovu mtaaibika wenyeweeeeπππ
7 days agoViongozi tunaomba mechi za nyumbani zote zichezwe saa tisa mchana jua kali in sha Allah tutafuzu
