Instagram story viewer> @skolfm_tanzania> Post
6 days ago
Co Creator: irene.mwanjala youngandalivetz
3
Posted On: October 30th 2026, 02:23 pm
Kila kijana ana mchango muhimu katika jamii! Wasichana na wavulana wote wana nafasi ya kuleta mabadiliko, kujitambua na kujenga jamii bora kupitia maamuzi sahihi na uwajibikaji.

Vijana ni nguvu ya sasa na tumaini la kesho!

#SkolFM #YoungAndAlive
Comments (3)
samson_marwa20 2 days ago

samson_marwa20

👏👏👏👏

scoop_with_baha 6 days ago

scoop_with_baha

Ni kweli kabisa wengi wamemaliza darasa la saba na kuolewa😅

msimbe__ 6 days ago

msimbe__

Hizo takwimu za muda Gani 🙄

More posts

back to up