Instagram story viewer> @uzikwasa> Post
6 days ago
1
Posted On: October 30th 2026, 04:34 pm
“Mafunzo ya uongozi wa mguso yamenipa nafasi ya kujitafakari, kutambua hisia zangu na kuguswa na hisia na hali za wengine, kuanzia katika familia yangu hadi kwa wafanyakazi wenzangu. Nimejifunza kuwatendea wengine jinsi ambavyo ningependa kutendewa. Mafunzo haya yamepanua mtazamo wangu kuhusu uongozi na kunisaidia kuona maeneo ninayohitaji kurekebisha ili niwe kiongozi bora zaidi.”

— Salvata Kalanga, Mwezeshaji UZIKWASA
Comments (1)
nicksonlutenda 6 days ago

nicksonlutenda

Kazi kazi🔥

More posts

back to up