Posted On: October 30th 2026, 05:58 pm
Mazungumzo ya wazi hujenga jamii yenye uelewa na vijana wenye uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kuhusu afya zao!
Afya ya uzazi si mwiko wala jambo la kuficha. Ni muhimu tuanze kuzungumza, kusikiliza na kutoa taarifa sahihi bila aibu, unyanyapaa au hukumu. Mabadiliko yanaanzia kwetu, nyumbani, shuleni na katika jamii zetu.
Tuanze mazungumzo, tuvunje ukimya!
#ElevateToSRHR #AfyaYaUzazi #YouthHealth #EndStigma #youngandalive