Posted On: October 31st 2026, 08:12 am
Anaandika Maria Sarungi-Tsehai
‼️🚨Nashauri kama hujalamba asali ya Abduli na uko Chadema - tulia usikilize kwa makini sana anachoongea Mange
@mangekimambi kuhusu Lema na wenzake!‼️
Mtu kugeuka kuwa msaliti baada ya zile damu za
#MO29 ni LAANA! Mtu anayetamba (na wengi mmemsikia kwa masikio yenu wala hamjasimuliwa) kuongea na Mafwele kila wakati na kumtetea Mbowe - huwezi kusema eti ana interest ya Tundu Lissu at heart!
Sasa we unamtetea Lema na wenzake badala ya wao kujitetea sababu gani kama hujalamba asali?
Mi nawaambia Chadema wote - msipojua basi ni kwamba Chama ni watu! Siku mkiruhusu upumbavu wa maridhiano ya akina Mbowe iingie Chadema mtabaki jina tu kama wenzenu!
Sisi tutaendelea na MOVEMENT na umma wa Tangayika hautakata tamaa wala kurudi nyuma! Tupo hapa imara na hatuwezi kukingia kifua kikundi cha watu kinachofikiri taasisi iliyosajiliwa na serikali haramu ya CCM ina thamani kuliko HAKI na Damu za wananchi!
Kwa sababu kwa sasa mtanganyika hata aliyopo kwenye mfumo HATES Samia and gang with a passion! Na mnavyoenda kuonana na Abduli - watu waliomzunguka ndo wanatuletea taarifa maana wanawachukieni SANA! So mjue kama mnataka hizo chuki zihamie kwenu sawa - ila sioni sababu!
Pesa za Abdul ukishachukua lazima uDELIVER au ujimalize ila huwezi kubaki eti “mpambanaji” huko unakula pesa zake!
So mmeshajimaliza kisiasa na mkianza kumponda kimama chake, Abdul anakuja kuwadai na kuwafanya jambo baya - si mnajua anavyopenda makalio 🙄 kitoto cha shetani aliyelaaniwa!
Sasa ni hivi ukiletewa ofa ya Abdul - RUN LIKE HELL! Au kubali roho au hata mwili wako upotee na uangamie milele
Na msiseme eti tusimwongelee mtu - sisi tutaongea hadi tuchoke - mkitaka kutuziba mdomo mna tofauti gani na CCM?
Taifa linahitaji RADICAL CHANGE si siasa za ulaghai! Get rid of the ROT now kabla hamjaoza wote!
#FreeTunduLissu na
#TutaelewanaTu Load More