Posted On: October 31st 2026, 12:00 pm
🔥 JIUNGE NA FAMILIA YA SIFA – SIFA GOSPEL FEST 2026!
Watumishi wa Mungu na wapenzi wote wa sifa na kuabudu duniani kote, nafasi ndiyo hii! Ungana nasi kwenye group rasmi la SIFA GOSPEL FEST FANS ili uwe wa kwanza kupata taarifa zote za matukio, picha, video, na mambo mazuri yanayokuja.
#sifagospelfest2026 #BestGospelEventOfTheYear
#KilaMwenyePumziNaAmsifuBwana