5 days agoKaribu HOSCO CLEANING SERVICE 🧹✨ Sisi ni wataalamu wa Usafi Dar es Salaam. TUNAFANYA NINI? 🛋️ Kusafisha Sofa, Carpets & Magodoro kwa mashine 🏠 Usafi wa Nyumba nzima (kuhama / baada ya ujenzi) 🏢 Usafi wa Ofisi, Maduka & Apartments 🧼 Kuosha tiles, madirisha na choo Kwanini Hosco? ✅ Tunakuja ulipo ✅ Dawa salama kwa watoto na pets ✅ Kazi haraka na umakini ✅ Bei rafiki Usibebe stress ya usafi, tupigie sisi ule chai! ☕️
5 days agoUyu marry live ni mzuri nyie afu mcheshi anaongea na watu vizuri sana Mungu akutunze sana sisy😍❤️❤️
5 days agoIla bongo movie WA kike beana kilasiku yanaibuka makundi MAPYA...Hawa nao soon tutawasikia
