Instagram story viewer> @sifayouthtalk> Post
5 days ago
Co Creator: qsmorice george_chikao farhankihamu_jr sumamwaitenda
Photo by Sifa Youth Talk on October 31, 2026. May be an image of text.
Photo by Sifa Youth Talk on October 31, 2026. May be an image of calendar, poster, crossword puzzle and text.
12
Posted On: October 31st 2026, 02:33 pm
JUKWAA LA SIFA YOUTH TALK KAZI YETU NI KUKUSOGEZEA FURSA KIJANA

Sasa chukua hii...

Serikali kupitia Ofisi ya Rais Maendeleo ya ijana imetangaza fursa za mikopo kwa vijana Tanzania! Je, una wazo la biashara unalotamani kulianzisha au kukuza biashara yako iliyopo? Huu ni wakati wa kuanza kuchukua hatua!

USISUBIRI FURSA IKUPITE!
Fuatilia matangazo rasmi ya serikali na halmashauri yako ili kupata taarifa sahihi kuhusu masharti, vigezo na utaratibu wa kuomba mkopo.

CHUKUA HATUA SASA! Tembelea ofisi ya halmashauri yako au wasiliana na idara inayohusika na maendeleo ya vijana ili kujua kama unastahili na jinsi ya kuomba.

WEWE UNA WAZO GANI LA BIASHARA? Tuambie kwenye sehemu ya maoni, na mshirikishe kijana mwingine ili naye apate taarifa hii!

SWIPE PICHA YA PILI KUPATA TAARIFA ZAIDI ..

#SifaYouthTalk #FursaKwaVijana #MikopoKwaVijana #VijanaNaMaendeleo #Ujasiriamali Tanzania
Comments (12)
laurence.nziku a day ago

laurence.nziku

Here we Go🔥

angelamshana4 5 days ago

angelamshana4

Mikopo ipo kweli kupata sasa

big_raja_official 5 days ago

big_raja_official

Hii mikopo tunaisikiaga tu Kila ukifatilia ,wanaopata niwale Wenye connection tu

tumaini_phone_accesories2026 5 days ago

tumaini_phone_accesories2026

Wasio na tin namba dm chap tufanye kazi

brayce_tz 5 days ago

brayce_tz

Mikopo ipo kweli ila ili uipate cjw wanafanya ivo ili tusipate mashart walisema ni rahisi kitu ambacho co kweli hii nchi ngumu sana

jeremia7419 5 days ago

jeremia7419

Hiyo mikopo Sasa mpaka uipate kama unaomba million moja jua mpaka upate mkopo umetumia laki nane ko mpoko wako ni laki mbili na ulipe million na nyongeza😂😂😂

sillaaronyalonde 5 days ago

sillaaronyalonde

Ni kweli, fursa kwa vijana nchini Tanzania zipo nyingi na zinaendelea kuratibiwa kupitia mipango mbalimbali ya serikali na sekta binafsi.Sifa Youth Talk ipo kwajili ya kukuunganisha na hizo fursa bure kabisaaa🙌🙌🙌🙌🙌

sillaaronyalonde 5 days ago

sillaaronyalonde

🔥🔥🔥🔥

More posts

back to up