Posted On: October 31st 2026, 05:06 pm
Hii ni kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na wakubwa, na taasisi mbali mbali
tarehe 04/11/2026 kutakua na uzinduzi wa sera mpya ya viwanda itakayofanyika dodoma , wafanya biashara , wajasiriamali na taasisi zote mnakaribishwa
@viwandabiashara @judithkapinga@warsam85