Posted On: November 1st 2026, 02:31 pm
Baadhi ya waumini kutoka kanisa la Kkkt Yerusalem Dodoma makulu wakieleza jinsi wazazi walivyojisahau na kuwaacha watoto wakijiongoza wenyewe badala ya kuwafatilia na kujuwa maendeleo yao ili kuepusha changamoto kujitokeza
@kkkt_yerusalemu_makulu