Posted On: November 1st 2026, 06:32 pm
Simba ya kimataifa, ubora unaozungumza bila mipaka! 🔴⚪🔥 Jayrut ameleta ladha nyingine kwenye uzi wa Wekundu wa Msimbazi. Huu si uzi tu, ni utambulisho wa Simba SC! 🦁🌍
#NguvuMoja #SimbaSC NB: yeyote anaruhusiwa kuvaaa