Posted On: November 2nd 2026, 08:37 am
Congratulation to you Queen umeweza kuitangaza vizuri nchi yako _eve_godwin___ hatuna deni na wewe sisi watanzania na tunazidi kukuombea kwa Mungu ufanikiwe zaidi ya hapo .pongezi kwa management yote ya missafricainternational kwa kuhakikisha jambo linaenda pamoja na
@carrymastorytv2 umeweza sana na hongera sana Mungu azidi kukubariki na ubaki na Moyo huo huo sister👏👏👏
@_eve_godwin___ @missafricainternational