Instagram story viewer> @joharichagulatz> Post
2 days ago
Co Creator: babymadahatz marryblizzy mayamrisho
8
Posted On: November 2nd 2026, 05:07 am
Uzinduzi wa Sera Mpya ya Viwanda na Maonyesho ya Bidhaa, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC), Dodoma. 🇹🇿🏭

Hatua muhimu katika kuimarisha uchumi, kukuza viwanda vya ndani, kuongeza thamani ya bidhaa zetu na kufungua fursa zaidi za ajira na uwekezaji.

Tujivunie vya kwetu, tuchochee ubunifu, tuimarishe viwanda na tujenge Tanzania ya uchumi imara.

Viwanda ni msingi wa maendeleo ya taifa! 🇹🇿🔥

#SeraMpyaYaViwanda #ViwandaNiMaendeleo #TanzaniaYaViwanda #MadeInTanzania

@viwandabiashara
@judith__kapinga
@warsam85
@dng_production_ltd
@mamaongeanamwanao_
Comments (8)
chacha_magari a day ago

chacha_magari

❤️❤️🔥🔥

hassanjumbat1 2 days ago

hassanjumbat1

Mungu azidi kubariki juhudi zako mama

riziki.baradiga 2 days ago

riziki.baradiga

Hivi unapajua apa

itcr_ious 2 days ago

itcr_ious

❤️❤️❤️

hidayanjayd 2 days ago

hidayanjayd

🔥🔥🔥🔥🔥🔥kubwa kabisa

brendamalembeka1 2 days ago

brendamalembeka1

❤️❤️

More posts

back to up