Instagram story viewer> @dramatvonline> Post
3 days ago
9
Posted On: November 2nd 2026, 06:09 pm
Mwanamke mmoja Mkenya anayefahamika kwa jina la Joy, aliyekuwa akifanya kazi nchini Saudi Arabia, ameripotiwa kufariki dunia ghafla wakati akicheza mpira pamoja na watoto wa mwajiri wake.

Katika video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, Joy anaonekana akicheza mpira na watoto hao akiwa katika hali ya furaha kabla ya kuanza kuonyesha dalili za kupata shida ya kupumua.

Muda mfupi baadaye, mwanamke huyo anaonekana akianguka ghafla wakati mchezo ukiendelea.
Joy alikimbizwa hospitalini, lakini madaktari walithibitisha kuwa alikuwa tayari amefariki dunia alipofikishwa.
Comments (9)
kmarrynia 3 days ago

kmarrynia

Yan hyo ni pressure moyo chap unazma na nanaic ya, kushuka

konde_boy_25 3 days ago

konde_boy_25

😢😢😢😢

yass3r_tz 3 days ago

yass3r_tz

ilikua fraha yake ya mwisho iseee kifoo 😢

kiyara_shezi 3 days ago

kiyara_shezi

She was not oky hata alivyokuwa akicheza hapo.

monira_tz_tz 3 days ago

monira_tz_tz

😢😢😢

ramoy_junior 3 days ago

ramoy_junior

Pumzi kisodaaaa mafuta mengi by the way kifo ni fumbo

musakhamismkumba 3 days ago

musakhamismkumba

😢😢😢Mbona kama alikua ayuko sawa

ibrahimsaid7863 3 days ago
kiss_sachaime 3 days ago

kiss_sachaime

OMG 😱😢🙏🏽

More posts

back to up