Instagram story viewer> @yasiningitu> Post
3 days ago
Co Creator: hussein_hillary115
20
Posted On: November 2nd 2026, 06:27 pm
Sura za Marais 6: Ni Ukombozi wa uchumi?, Tanzania sasa yataka kuzalisha badala ya kuagiza! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ

Fikiria Tanzania inayozalisha mbolea zake, mafuta ya viwandani, malighafi za kutengenezea bidhaa, kemikali na bidhaa za chuma badala ya kutegemea kuagiza kila kitu kutoka nje. ๐Ÿ‘€

Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Tanzania imetumia takribani Sh trilioni 24 mwaka 2024 kuagiza bidhaa za kati (Intermediate Goods). Sasa kupitia Sera ya Maendeleo Endelevu ya Viwanda, Serikali imeweka mpango wa miaka 10 wa kupunguza utegemezi huo kwa nusu kupitia viwanda vya ndani.

Je, unaamini uzalishaji wa ndani utapunguza bei na kuongeza ajira kwa vijana? ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ”ฅ
Comments (20)
iamhossy_g 3 days ago

iamhossy_g

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

_joel.haule 3 days ago

_joel.haule

History to never be forgotten ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

prosper_kija30 3 days ago

prosper_kija30

Keep going Brother๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘

jay_rayss 3 days ago

jay_rayss

Safi kabisa bwana mdogo

mr_j.m.l 3 days ago

mr_j.m.l

big up brother @hussein_hillary115 ๐Ÿ”ฅ

shine.joans 3 days ago

shine.joans

Nzuri Sanaa hiii Kijana wangu @hussein_hillary115 ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ˜‚

daxlaxofficial 3 days ago

daxlaxofficial

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

naimah_mohamed 3 days ago

naimah_mohamed

๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘

_dekke 3 days ago

_dekke

Naam๐Ÿ”ฅ

mr.thomas.kosian 3 days ago

mr.thomas.kosian

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™Œ

tengewa_jr 3 days ago

tengewa_jr

Chambuzi la Masuala ya Kisiasa ๐Ÿ”ฅ

omarism_1 3 days ago

omarism_1

@hussein_hillary115 we noma๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

More posts

back to up