Instagram story viewer> @g.a_lens> Post
2 days ago
Co Creator: mshuaramy_
0
Posted On: November 2nd 2026, 10:09 am
Kumjali mtenda ni sifa namba moja ya chapa bora Duniani kote , sio tu kutengeneza bidhaa bora inatosha kumfurahisha mteja , unaweza kufanya zaidi.

TV’s brand, ambao ni watengenezaji wa vyombo vya usafiri kwa maana ya TV’s King usafiri wa matairi mawili Bodaboda
TV’s King usafiri wa matairi matatu. kwa kushirikiana na moja wa wafanyabiashara kutoka Dodoma wamekuja na moja, kubwa, zito na la namna yake.

Vyombo vya usafiri zaidi ya 300 vimefanyiwa huduma bure kabisa, na hii ndio maana halisi ya kuwajali wateja.

Madereva waliofika katika zoezi hilo wamepatiwa elimu ya jinsi ya matumizi bora ya vyombo vya moto,zaidi wanapokuwa katika shuguli zao za kila siku. @tvsmotorcompany

More posts

back to up