Imani ni kitu kinachochukua miaka mingi kukijenga, lakini kinachukua sekunde chache tu kubomoka kabisa.
Kuna msemo usemao 'uzoefu ni mwalimu,' je, ni tukio gani lilikutokea kwenye harakati za utafutaji na biashara, ambalo lilikufanya uache kuamini watu kirahisi?