Instagram story viewer> @iqram_zilow> Post
3 days ago
Co Creator: cr_michambo uosa_live_comedy chandolaptops
3
Posted On: November 2nd 2026, 01:53 pm
Kipindi nipo chuo nilishindwa kumiliki hata PC kwajili ya kuifadhia data zangu kutokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu wa kiuchumi pamoja na family yangu

Baada ya kuingia mtaani nikabuni njia rahisi ya kuakikisha kila mtanzania anakikisha anamiliki laptop kwa bei nafuu kutokana na matumizi yake basi kwangu imekuwa kama ndoto kwangu kumwona kila mmoja akitumia laptop aswa wale wanafunzi wachuo ndomana nikaja na kitu kinachoitwa #laptopkiganjani

Pongezi ziende kwa @uosa_live_comedy waliiofanikisha hili jambo liende vizuri na. Sisi kama chando laptop atutasita kuakikisha misimu yote ijayo tunashiriana kwa namna yoyote sisi tupo na nyiyi

Shukran sani @kijichigatewayhotel
Comments (3)
djkingstonetz 19 hours ago

djkingstonetz

Kijana wa mwka wa mbele 🔥🙌🔥🙌

heiz_oswin 3 days ago

heiz_oswin

🔥🔥🔥

dron_mtotowacamera 3 days ago

dron_mtotowacamera

My brother 🫡🙌

More posts

back to up