Posted On: November 2nd 2026, 04:21 pm
TANZANIA YA VIWANDA, TANZANIA YA FURSA! 🇹🇿
Leo ni mwanzo wa hatua mpya kuelekea uchumi imara kupitia uzinduzi wa Sera ya Maendeleo ya Viwanda. Ajira, ubunifu na maendeleo kwa taifa letu! 🚀
#TanzaniaYaViwanda #MaendeleoYaViwanda