Posted On: November 2nd 2026, 04:56 pm
Katika harakati za kutafuta chochote kitu nikajikuta nimekosa wali kwenye sherehe. Ah lakini ilikuwa nzuri. Bibi harusi na bwana harusi sikuwakuta pia, lakini ilikuwa nzuri.
Ndiyo ilikuwa nzuri, waliniambia niliowakuta.