Posted On: November 2nd 2026, 07:21 pm
Ni wasanii wachache sana hivi sasa wanaweza kufanya alichofanya Mopa Lee na timu yake Mataitaz
Imagine kijana kutoka Arusha Mbauda anaenda kufanya show Zanzibar afu watu wanaitika ukumbi umependeza kila kona mtu shazi. Acha wewweee
Inatokea Chuga tuu HAMNAGA Dar, twende Boom Kubam
Wacha maneno kula muziki Beberu Lao Beberu ametisha sana kwenye show yake kule Zanzibar
Kilichonifurahisha zaidi ni baada ya show watu waliizingira gari ya Mopa huku baadhi wakimuomba apige nao picha?
Tunadebedesha