Instagram story viewer> @doyodo_organization_tanzania> Post
2 days ago
Co Creator: _halimamajaliwa tanzaniaborainitiative tydf_official
3
Posted On: November 2nd 2026, 07:19 pm
JE, TEKNOLOJIA IMEMFUNGULIAJE MWANAMKE FURSA KATIKA JAMII?

Baada ya teaser, sasa FULL EPISODE ya podcast yetu ipo hewani!

Kupitia mazungumzo na Afisa Mradi, tunaangazia nafasi ya mwanamke katika ulimwengu wa kidigitali, changamoto za kiteknolojia na malezi, pamoja na namna ya kuzitumia fursa za kidigitali katika kujenga uongozi na kukuza ujasiriamali.

🎯 Mwanamke asiwe mtumiaji wa teknolojia pekee, bali awe kiongozi, mbunifu na mnufaika wa majukwaa ya kidigitali.

🎧 Sikiliza FULL EPISODE kupitia YouTube channel https://youtu.be/YWnW0y_UpWo?si=esMMzW1CZHkw6Y4x sasa!
Comments (3)
_halimamajaliwa 2 days ago

_halimamajaliwa

🔥🔥🔥

kasimbazrashad 2 days ago

kasimbazrashad

🎉🫡

jay_dacruzi 2 days ago

jay_dacruzi

🔥🔥

More posts

back to up