Instagram story viewer> @pmtvtz> Post
3 days ago
17
Posted On: November 2nd 2026, 07:52 pm
Eti umemuelewa kocha wa @namungofc Juma Mgunda ?.

Full Interview inapatikana kwenye YouTube channel yetu ya PMTV TANZANIA.
Comments (17)
mandianoel001 2 days ago

mandianoel001

Hataaamini watakacho mfanyia wachezaji ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ na atafukuzwa

zuberi_musa_ 3 days ago

zuberi_musa_

Umeuza mechi wewe mzee unatuaribia ligi mpaka lini mambo haya

muchaga_15 3 days ago

muchaga_15

Mnamuhoji akiwa na furaha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

mreeshomujaheed 3 days ago

mreeshomujaheed

Hii mechi nj Kama refa alikuwa analazimisha SIMBA ishinde Mgunda wewe ni mshindi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

mreeshomujaheed 3 days ago

mreeshomujaheed

KWA KWELI INASIKITISHA SANA

banduju 3 days ago

banduju

Zikazie TIMU zote urudi Lunyasi..

kadege.2 3 days ago

kadege.2

Ww simba tunakujua

almandoelmass 3 days ago

almandoelmass

Mapana ipo tanga hko๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

babaneylaty 3 days ago

babaneylaty

Mimi ni yanga ila namungo leo wamepambana, na kama ingekua sio hawa marefa wetu, leo namungo angeondoka na point's

josephmpozemenya 3 days ago

josephmpozemenya

Hadi mgunda leo analalamika sio kawaida yake simba bila kubebwa mdo hii tunauoijua kuanzia fountain gate hadi leo lkn ni suala la muda ukweli utaonekana ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

east_gan 3 days ago

east_gan

Kwani mimi nina gundu gani jamanii yaani mnashindwa kunifollow mTanzania mwenzenu ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข . Nashindwa kupata ata mademu mwenzenu nachekwa account yangu mbovu. Sawa basi, naomba usitazame account yangu niachaneni tu nyie si mshatoboa๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

swahiba_lameck_charles 3 days ago

swahiba_lameck_charles

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Load More

More posts

back to up