Posted On: November 3rd 2026, 05:05 am
At the Women’s Parliamentary Conference in Dar es Salaam, the Tanzania Bora Artist Community performed “This Is Tanzania” a song celebrating the pride, identity and spirit of our nation in the presence of Hon. Deogratius Ndejembi, Vice President of the United Republic of Tanzania, representing H.E. President Samia Suluhu Hassan.
This moment reflects why we invest in building artist communities: not only to nurture talent, but to create platforms where art communicates ideas, shapes public conversations and amplifies messages that matter.
By connecting artists to national platforms, Tanzania Bora is opening new pathways for creative expression to contribute to advocacy, civic engagement and social influence. Music can celebrate who we are, bring people together and communicate messages that reach audiences beyond traditional approaches.
---------------------------------
Katika Mkutano wa Wabunge Wanawake uliofanyika Dar es Salaam, Tanzania Bora Artist Community ilitumbuiza kwa wimbo “This Is Tanzania” wimbo unaosherehekea fahari, utambulisho na moyo wa taifa letu mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Deogratius Ndejembi, aliyemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Tukio hili linaonesha sababu ya kuwekeza katika kujenga jumuiya za wasanii: si kwa ajili ya kukuza vipaji pekee, bali pia kuunda majukwaa ambayo sanaa hutumika kuwasilisha mawazo, kuchochea mijadala ya kitaifa na kufikisha ujumbe muhimu kwa jamii.
Kwa kuwaunganisha wasanii na majukwaa ya kitaifa, Tanzania Bora inafungua njia mpya za kutumia ubunifu katika utetezi wa masuala ya kijamii, ushiriki wa wananchi na kuleta ushawishi. Muziki unaweza kuonesha tunu na utambulisho wetu, kuwaunganisha watu na kufikisha ujumbe kwa hadhira pana kupitia njia bunifu.
#TanzaniaBora #TanzaniaBoraArtistCommunity
#CreativeLeadership #CreativeEconomy