Posted On: November 3rd 2026, 05:54 am
Kutopanga uzazi kunaweza kuleta changamoto katika malezi, afya na mahitaji ya familia. Kama tunavyoona katika simulizi hili, kupata elimu sahihi kuhusu uzazi wa mpango huwasaidia wanandoa kufanya maamuzi sahihi na kupanga maisha yao.
Kupitia Kampeni ya Elevate, tunahamasisha jamii kutambua kuwa kupanga uzazi ni kupanga maisha.
Pata elimu na huduma za uzazi wa mpango katika kituo cha afya kilicho karibu nawe.
#youngandalivetz #elevate #srhr #afyayauzazi.
Je, unadhani elimu ya uzazi wa mpango inaweza kusaidia familia kuepuka changamoto zinazotolewa na mimba zisizopangwa??