Posted On: November 3rd 2026, 11:05 am
ALIYEKUWA kocha wa Manchester United, Erik ten Hag, amesema uwezekano wa timu hiyo kushuka daraja ni jambo linalowezekana kwenye Ligi Kuu England msimu huu.
-
Akizungumza na ESPN, Ten Hag amesema ushindani wa ligi hiyo ni mkubwa kwa sababu kila timu ina kikosi imara, kocha mzuri na wachezaji wenye uwezo.
-
Ameeleza kuwa timu inapoingia kwenye mfululizo wa matokeo mabaya, hali hiyo inaweza kuifanya iwe vigumu kurejea kwenye kiwango kizuri.
-
#spotileo #spotileupdates #tenhag #EPL
#manchesterunited