
17 hours agoYani hata dar polisi wanazunguka na magari hovyo kutisha watu, watanganyika tunajua dhamina yenu ni kumfunga lissu sasa kwanini mnatisha watu
a day agoHii kesi ni ya Jamhuri..Mimi Ningekuwa Jaji mkuu ningehakikisha hii kesi inasikilizwa uwanja wa TAIFA mwanzo mwisho.
2 days agoYaani zama zinakimbia sana,Zamani gaidi au Mhaini Wananchi wanamchukia Mbaya,Maana anataka kumuua Raisi wao kipenzi,Leo Mhaini au Gaidi anapendwa sanaaaa๐.Police wanazuia watu kwenda kusikiliza hukumu ya mhaini๐๐
2 days agoBinadamu tumepewa aki, wanyama wamepewa nguvu... huwezi badirisha hii ni nature
2 days agoWanacho kifanya ni kutengeneza mazingira ya kuhalalisha mauwaji manake wanapanga kuuwa watu so wanacho kifanya ni ile wanaita difensive mechanisim anatanguliza lawama wakati anajiandaa kuuwa
