Posted On: November 3rd 2026, 02:39 pm
.Mavazi haya yalitumika kuwakilisha uhusika wa Mfalme Pontio Pilato (Pontius Pilate) na mkewe, Prokula (Claudia Procula) katika stage play yetu ya Unchained, ambayo kwa sasa tuko jikoni tunaendelea kuimalizia kuipika. 🔥🎭
Lakini usisahau, kilichopo mezani ni Stage Play ya Christmas play iliyo fanyika mwakajana December 🎄unaipata you tube
@the King &The Code
Stay tuned… kuna kitu kikubwa kinakuja! 👀🔥
#TheKingAndTheCode#ForTheKingdom#SisiNdioWaleTunaosaidiwaNaBWANA
#GreatestSoulWinningEvent